Bwa mdogo umegusa gusa wote hapa ndiyo mwisho wako. Kumbuka imesemwa "kila mjuaiji kuna aliyemzidi kujua" . Nataka nikuchezee picha moja la ajabu mpaka ushangae[emoji3] [emoji3] [emoji3]Bado wewe sasa
Hahahaha...Bageshi......Bageshi. Kugombaniwa lakini raha eeh! Unajisikiaje? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hahaha nilishtuka mpaka nimesoma tena ndio nikajua anamaanisha nini.Hahahaa nami nimeshtuka....
Hi, habari yako. Gonga likes uzawadiwe likesNamuona...!
Myoyabendi
Babe
Shimba
Mwifiwa
Moudgulf
Billy
High five guys...!
HahahahahhahHaniwezi, nimekulia na kusoma ukanda wa Gaza na ukingo wa mto Jordan, matukio kama hayo ni sawa na kwenda dukani kununua peremende
Nakujua kuliko unavyojijua[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Atakuwa kaniona akona rangi yangu hahahhaha
Kabisaaa kaka...! Mwanzoni nilihisi kutotoa like ni usupastaa...! Ila nimegundua ni bonge la kifungo bro..!Tupo kamanda. Karibu tuendelee kugonga likes. Weekend hiyooo inanukia !!!
Pambana shemeji. Vizuri hupiganiwa !!!Yani hapa nimekuwa kama Mond vile kila mtu anataka kuvunja ndoa yangu na Babe S
Umeona mama. Watu hawapendi tukicheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Acha tabia kuishi na warembo, tukiwaona lazima tuwatolee macho,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yani hapa nimekuwa kama Mond vile kila mtu anataka kuvunja ndoa yangu na Babe S
likesHiyo hapo
La kihindi labdaBwa mdogo umegusa gusa wote hapa ndiyo mwisho wako. Kumbuka imesemwa "kila mjuaiji kuna aliyemzidi kujua" . Nataka nikuchezee picha moja la ajabu mpaka ushangae[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Karubu na hapa leo lazima uondoke na madebe ya furaha
Karibu saaanna. Kumbuka Post and LikeKabisaaa kaka...! Mwanzoni nilihisi kutotoa like ni usupastaa...! Ila nimegundua ni bonge la kifungo bro..!
Lets keep up the love..!