Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mtoto kafika hatoki hapa. Na unajua ndoa ya kanisani haivunjikiPambana shemeji. Vizuri hupiganiwa !!!
Kweli kabisaSambaza upendo...!
Hakuna kitu kizur maishani kama kumuonesha upendo binadamu mwenzio..!
Chukua siti uone sinema, sisi hadhi yetu ni wale vipepeo wa kiyahudi, huyu bwa ndogo atanifanya nitumie shoka kuua panya[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahahah! Nachukua siti nione...
Utatoa macho mpaka yadondoke, kushika na kula utakusikia kwa UNIQAcha tabia kuishi na warembo, tukiwaona lazima tuwatolee macho,[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nitafanya kosa kubwa nikitumia shoka kuua panya[emoji3] [emoji3] taaluma hairuhusu[emoji3] [emoji3]Hahahahahah! Nachukua siti nione...
Moudgulf kwani hapa kuna nini zaidi ya upendo na furaha??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Karibu saaanna. Kumbuka Post and Like
Mpare ni mwanafunzi wa wasomali wa garisa ambaye hajaiva[emoji3] [emoji3] [emoji3]Yaya hatekeki? Anamjua Mpare vizuri?
Huruma jamaniOoooh boy
Hahaha anasema ye kazaliwa kwenye ugaidi.....Yaya hatekeki? Anamjua Mpare vizuri?
Hahahhahahaahahahhahahahahaahah[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]Chukua siti uone sinema, sisi hadhi yetu ni wale vipepeo wa kiyahudi, huyu bwa ndogo atanifanya nitumie shoka kuua panya[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wewe unayegombewa ukae karibu karibu uliangalie picha zima[emoji3] [emoji3] [emoji3] muda si mrefu uniq ataiadhirikia kadamnasiHahahaha...Bageshi......
Kadharau nusu kijiko ndio dawa yakoNitafanya kosa kubwa nikitumia shoka kuua panya[emoji3] [emoji3] taaluma hairuhusu[emoji3] [emoji3]
[emoji3][emoji16][emoji16]Nakujua kuliko unavyojijua[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wooow! Hii kali...Hii spidi ya intaneti huu uzi sijui utakuwa na hali gani!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahahhah
Hahah kweli kabisa ila yupo na mtoto ambaye wengi wanamtaka mtoto wa kisukuma mtoto aliefundwa akafundikaMpare ni mwanafunzi wa wasomali wa garisa ambaye hajaiva[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hawapendi naona....Umeona mama. Watu hawapendi tukicheka