HahahahaFundi
Fumba macho usioneMie mtoto[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kweli kabisa mkuuNapenda kusoma ila si hii miungu ambayo kwangu haina maana.
Kula like kwanza kwa kutaka kujua
Pokea likes nimerudi tenaUnastahili pongezi kwa leo
Umesahau nini tenaHe! Leo nimesahau
Mwaga likesHuu uzi ndio habari ya mjini hapa Jf
Kawaida yangu upendoJitihada zako naziona, hongera sana kiongozi
Nimepokea na wewe nakupaPokea kwangu kwanza
Heee
[emoji4] [emoji4]
Mwezi haujaishaUmesahau nini tena
Inasaidia kwa mama ntilie kuto kukudai daiKula na kulipa
Duu, una roho ngumu!Nipo post ya 41671 naanzia huku kutoa likes had niwafikie
Party zoneKwa kweli ni upendo!
Stress free zone
BadoKwani mwisho wa mwezi tayar?
HahahahaUbaguzi wa kutoa likes haujawahi kumuyacha mtu salama
Mi mke mkubwa tu unipatie sina mengiNaona kibiti patawafaa kwani nimepanga nyumba ya mwenyekiti wa ccm nae anaishi hapa.
Nawaza huyu baba alichofikiria hadi kufanya hivyo sipati jibu
Na Mimi usinisahauNimepokea na wewe nakupa