Ngoja nikazane kucheza mana hata pair zangu za viatu zimeisha[emoji6][emoji6]Ukishinda kama tulivyokubaliana dogo
Marafiki wa aina hii wamebaki wachache sana,na ukibahatika kumpata mshikilie
Mwanasiasa wa Kirumi Gaius gracchus, kichwa chake kilihitajika kwa malipo ya dhahabu sawa na uzito wake. Hivyo atakayemuua na kupeleka kichwa chake angepewa dhahabu sawa na uzito wa kichwa hicho. Hata hivyo dhahabu hii haikulipwa kwa mtekaji kwa sababu alikijaza kichwa hicho madini ya risasi ili kiwe kizito zaidi
Inasemekana huyu ndiye mtu tajiri kuliko wote aliyewahi kuishi. Hata Mfalme Suleiman cha mtoto....Mansa Musa, kiongozi wa Dola ya Mali, alitumia dhahabu nyingi huko Misri aliyoishusha thamani na kukaribia kuharibu uchumi.
What? Inaliwa ili iweje?Je unafahamu kuwa kuna aina ya dhahabu inayoweza kuliwa? Ipo aina ya dhahabu laini ambayo inaweza kuliwa.
Bado tupo shemeji. Nikikuta wanakusema mahala aisee wanaloooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Marafiki wa aina hii wamebaki wachache sana,na ukibahatika kumpata mshikilie
[emoji6] [emoji6] [emoji6] tatizo unajifanya mgumu mno wakati mrembo kupitiliza.Ngoja nikazane kucheza mana hata pair zangu za viatu zimeisha[emoji6][emoji6]