mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Oct 9, 2017 #438,261 19:33
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Oct 9, 2017 #438,262 Post Na likes
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Oct 9, 2017 #438,263 Post Na likes
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Oct 9, 2017 #438,264 Post Na likes
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,265 Kila mtu ana hofu, lakini viwango na aina ya hofu hutofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,266 Wapo watu ambao huhofu juu ya vitu na mambo mbalimbali hadi kushindwa kuendelea na majukumu au maisha yao ya kawaida.
Wapo watu ambao huhofu juu ya vitu na mambo mbalimbali hadi kushindwa kuendelea na majukumu au maisha yao ya kawaida.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,267 Ikiwa unapenda kufahamu aina za hofu (phobia) ili pia uchunguze kama una aina hizo basi fuatilia makala hii nikufahamishe aina 70 za hofu.
Ikiwa unapenda kufahamu aina za hofu (phobia) ili pia uchunguze kama una aina hizo basi fuatilia makala hii nikufahamishe aina 70 za hofu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,268 Ikiwa unapenda kufahamu aina za hofu (phobia) ili pia uchunguze kama una aina hizo basi fuatilia makala hii nikufahamishe aina 70 za hofu.
Ikiwa unapenda kufahamu aina za hofu (phobia) ili pia uchunguze kama una aina hizo basi fuatilia makala hii nikufahamishe aina 70 za hofu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,269 Pogonophobia – Pogonophobia ni hofu ya kuogopa ndevu au kukaa karibu na mtu mwenye ndevu. Hofu hii huwapata zaidi wanawake.
Pogonophobia – Pogonophobia ni hofu ya kuogopa ndevu au kukaa karibu na mtu mwenye ndevu. Hofu hii huwapata zaidi wanawake.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,270 Astraphobia – Hofu hii pia inajulikana kama astrapophobia, brontophobia, keraunophobia, au tonitrophobia; hii ni hofu ya kuogopa radi.
Astraphobia – Hofu hii pia inajulikana kama astrapophobia, brontophobia, keraunophobia, au tonitrophobia; hii ni hofu ya kuogopa radi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,271 Gephyrophobia – Je huwa unaogopa unapofika kwenye daraja? Basi inawezekana una Gephyrophobia. Hii ni hofu ya kuogopa madaraja.
Gephyrophobia – Je huwa unaogopa unapofika kwenye daraja? Basi inawezekana una Gephyrophobia. Hii ni hofu ya kuogopa madaraja.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,272 Anthropophobia – Hii ni hofu ya kuogopa watu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,273 Alektorophobia – Hofu ya kuogopa kuku. Je kuku anakufanya uchanganyikiwe au ukose amani?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,274 Arachnophobia – Hii ni hofu ya kuogopa buibui; hofu hii inaathiri wanawake kwa asilimia 48 na wanaume asilimia 12.
Arachnophobia – Hii ni hofu ya kuogopa buibui; hofu hii inaathiri wanawake kwa asilimia 48 na wanaume asilimia 12.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,275 Myrmecophobia – Hofu ya kuogopa wadudu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,276 Agliophobia – Hii ni hofu ya kuogopa maumivu. Pia kuogopa juu ya kitu chenye maumivu kinachoweza kutokea.
Agliophobia – Hii ni hofu ya kuogopa maumivu. Pia kuogopa juu ya kitu chenye maumivu kinachoweza kutokea.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,277 Iatrophobia – Hii ni hofu ya kuogopa daktari.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,278 Hippopotomonstrosesquippedaliophobia – Hii ni hofu ya kuogopa maneno marefu. Je unaogopa kusoma au kuandika maneno marefu? Ikiwa ndiyo, basi huenda una hofu hii.
Hippopotomonstrosesquippedaliophobia – Hii ni hofu ya kuogopa maneno marefu. Je unaogopa kusoma au kuandika maneno marefu? Ikiwa ndiyo, basi huenda una hofu hii.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,279 Xenophobia – Kuogopa watu au vitu visivyofahamika au vigeni.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 9, 2017 #438,280 Enochlophobia – Hofu ya kuogopa mkusanyiko wa watu. Ikiwa unaogopa kukaa au kusimama mbele ya mkusanyiko wa watu, basi huenda una aina hii ya hofu.
Enochlophobia – Hofu ya kuogopa mkusanyiko wa watu. Ikiwa unaogopa kukaa au kusimama mbele ya mkusanyiko wa watu, basi huenda una aina hii ya hofu.