Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu embu nitafutie habari za Maze
MASE sina mpya zake.

Mara ya mwisho nilimuona Luningani kwenye Tamasha la kusheherekea Miaka Ishirini (20) ya Bad Boy Records.

MASE alikuwa anatumbuiza Nyimbo zake za zamani alizokuwa ameshirikiana na The Notorious B.I.G (BIGGIE).

MASE amebadilika sana, ameongezeka kawa Bonge sana.

Nikipata mpya za MASE nitakufahamisha Kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…