Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nchini Uganda Polisi imeanza uchunguzi wa kina dhidi ya asasi tatu kwa madai ya kufadhili miradi ya upande wa upinzani ambayo serikali inaamini kuwa ina lengo la kuleta vurugu nchini humo.

Pia...[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Baada ya waasi wa ADF kutoka nchini Uganda kuanzisha mapigano dhidi ya ngome za jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo FARDC, huku wakiwaua raia, wasiwasi unazidi kutanda katika maeneo ya Beni. Mashirika ya kiraia katika mkoa wa Kivu ya Kaskazini yanahofia kuwa huenda hali ya mauaji ya mara kwa mara dhidi ya raia ikarejea tena.


Chanzo:amka na BBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…