mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nakuombea uteuliwe uwaziri wa afya huko mbele ya safari. Nitaona kama utakataa. Kwema shemeji?Aaah!wapi wanawake na uongozi,me nasema hapana
Nisipigwe mawe tu ni mawazo yangu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]hiyo ni kazi ya miguu yake
Nilifikiri unaongelea vibamia shemeji. Akili yangu hii mhhhh![emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Cataracts
Nusu kikombe cha Bamia iliyopikwa inakua na kiwango cha 460 IU ya vitamin A.ambayo inapunguza uwezakano wa kupata ugonjwa wa mtoto wa jicho (cataracts).
Usongo (Depression) na Kukosa Nguvu. Bamia ni mboga bora zaidi kwa wale wanaojisikia dhaifu, Kuchoka na wanao athirika na Usongo (depression).