Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Warning

Vita ya Mshahara haijawahi kumuacha mtu salama.

Unakumbushwa tu mshahara utakaotumika sikukuu ya iddy ndio huo huo utakaotumika mpaka tarehe 24/07/2017
Ili maisha ya sikukuu yaende vizuri bila kuathili siku zinazo fuata,panga bajeti yako halafu kopa hela ya kukidhi bajeti hiyo. Baada ya sikukuu chukua mshahara wako na ulipe deni, hii inasaidia kupunguza matumizi yaliyo ya lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…