myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Salam sanaTufanye kama usiku mwema hivi
Wewe uko kimya..Hunu ndani ni vp ...mbona kuko kimya
Kila laheri kwa Leo..Kwa ambae nimemkwaza kwenye comment nilivyokuwa na reply samahani sana
Na kwako pia kichwa kichafuUsiku mwemah kwa wote
Kibiti labda kwenye ramani..Naskia mwezi umeonekana kibiti issue ni nani wa kwenda kuhakikisha
Choosen oneNilikuwa naita majina