Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 15, 2017 #447,621 Hapana’ ni sentensi kamili. Haihitaji maelezo ya ziada. Kwa hakika unaweza kujibu ombi la mtu kwa jibu rahisi la ‘Hapana’.” Sharon E. Rainey
Hapana’ ni sentensi kamili. Haihitaji maelezo ya ziada. Kwa hakika unaweza kujibu ombi la mtu kwa jibu rahisi la ‘Hapana’.” Sharon E. Rainey
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Oct 15, 2017 #447,622 Post Na likes
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 15, 2017 #447,623 Kila siku kwenye maisha yetu tunatakiwa kufanya maamuzi fulani ya kukataa au kukubaliana na mipango au jambo fulani.
Kila siku kwenye maisha yetu tunatakiwa kufanya maamuzi fulani ya kukataa au kukubaliana na mipango au jambo fulani.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 15, 2017 #447,624 Ni wazi kuwa maamuzi tunayoyafanya kuhusu mambo na mipango hii, ndiyo huamua na kuatawala hali za maisha yetu ya sasa na baadaye.
Ni wazi kuwa maamuzi tunayoyafanya kuhusu mambo na mipango hii, ndiyo huamua na kuatawala hali za maisha yetu ya sasa na baadaye.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Oct 15, 2017 #447,625 18:47
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 15, 2017 #447,626 Karibu nikushirikishe faida 5 za kusema hapana katika mipango na mambo mbalimbali kwenye maisha yako.
Karibu nikushirikishe faida 5 za kusema hapana katika mipango na mambo mbalimbali kwenye maisha yako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 15, 2017 #447,627 Hukutenga na mipango mibaya Siyo kila mpango unafaa kwenye maisha yako. Mipango mingine inaweza kuangamiza ndoto na malengo yako.
Hukutenga na mipango mibaya Siyo kila mpango unafaa kwenye maisha yako. Mipango mingine inaweza kuangamiza ndoto na malengo yako.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Oct 15, 2017 #447,628 Usiku umeingia
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 15, 2017 #447,629 Kwa mfano mtu akakushawishi uingie kwenye biashara ya dawa za kulevya, je unafikiri utaweza kweli kupata manufaa ya uhakika? Unaweza kukamatwa na maisha yako yakaishia gerezani.
Kwa mfano mtu akakushawishi uingie kwenye biashara ya dawa za kulevya, je unafikiri utaweza kweli kupata manufaa ya uhakika? Unaweza kukamatwa na maisha yako yakaishia gerezani.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Oct 15, 2017 #447,630 SHIMBA YA BUYENZE said: Umemkumbuka baby wako? Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vibaya sana wacha nitupie picha zako nipate faraja
SHIMBA YA BUYENZE said: Umemkumbuka baby wako? Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vibaya sana wacha nitupie picha zako nipate faraja
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Oct 15, 2017 #447,631 Poleni na mapumziko
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 15, 2017 #447,632 Huu ni mfano wa mipango mibaya ambayo watu wanapaswa kutokusita kusema hapa; kumbuka hakuna mkato kwenye mafanikio.
Huu ni mfano wa mipango mibaya ambayo watu wanapaswa kutokusita kusema hapa; kumbuka hakuna mkato kwenye mafanikio.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Oct 15, 2017 #447,633 SHIMBA YA BUYENZE said: Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SHIMBA YA BUYENZE said: Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 15, 2017 #447,634 “Jifunze kusema ‘hapana’ kwa mazuri ili uweze kusema ‘ndiyo’ kwa bora.” John C. Maxwell
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Oct 15, 2017 #447,635 Amani
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Oct 15, 2017 #447,636 SHIMBA YA BUYENZE said: Click to expand... Hii timu mwaka huu si ya mchezo mchezo
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Oct 15, 2017 #447,637 Upendo wetu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Oct 15, 2017 #447,638 Hukufanya kuonekana mtu mwenye msimamo Tutatambua vipi msimamo wako ikiwa wewe unakubali kila kitu? Ni muhimu kusema hapana ili watu watambue kuwa una masimamo fulani ambao hauwezi kuuacha. Ikiwa kuna jambo au kitu ambacho hukipendi, basi tumia buasara kusema hapa ili watu waheshimu msimamo wako.
Hukufanya kuonekana mtu mwenye msimamo Tutatambua vipi msimamo wako ikiwa wewe unakubali kila kitu? Ni muhimu kusema hapana ili watu watambue kuwa una masimamo fulani ambao hauwezi kuuacha. Ikiwa kuna jambo au kitu ambacho hukipendi, basi tumia buasara kusema hapa ili watu waheshimu msimamo wako.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Oct 15, 2017 #447,639 Umoja wetu
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Oct 15, 2017 #447,640 Uzalendo