Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu salute huyu naye namkubali sana
Hawa ndio wakali wa R&B.

Ni mkali kweli.

Mpaka ameweza kuwatoa wale Walimbwende wa Miondoko Laini, Kundi lao lilikuwa likiitwa KUT KLOSE.

Kiongozi.

KUT KLOSE unawafahamu?

Sikiliza Vibao ambavyo KEITH yupo na KUT KLOSE.

Kwa kweli Vibao alivyoimba na hawa Walimbwende vinakuwa vimeenda sana Shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…