Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamani hawa ng'ombe wenye viuno vyembamba na vichwa vikubwa kama siafu tulishawakataa hawa. Hawana soko na nyama yao ni hovyo tu. Tafuta ng'ombe wa kawaida please....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe mzee ni tatizo... Najuta kukufahamu(nilimisi kucheka komenti zako ndo maana nimeleta hao ng'ombe) haki ya Mungu walahi...
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ngoja nikamtafute Cole mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…