Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The Bold naye alizingua. Huwa sifagilii watu wanaojiona kuwa wao ni bora mpaka kiasi cha kutofuata utaratibu hata wakiombwa na kuonywa. Hata kama ungekuwa na kipaji cha kufufua wafu kama una kiburi, unajiona kuwa wewe ni bora kuliko wengine litakalokupata usilalamike. Ni funzo zuri. No one is above anything na hapa JF hata uwe nani ukicheza ban unakula tu kama kawaida !!!

By the way, kamata likes...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…