Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huku kwema mpenzi. Weekend yako inakwendaje? Ninapokuona katika uzi wetu huu pendwa ukifurahi basi huwa nafarijika sana. Ukipoteaga hapa hata kaAndaeitini huwa kanasikitika pia. Unapendwa !!!Nakusalimu babe
Habari yako?