Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SALARY SLIP SASA KWA NJIA MTANDAO,, HAKUNA TENA HARD COPY ZA MWISHO KUTOKA NI SEPTEMBER 2017
Serikali kuanza kutoa salary slip(Hati ya mshahara) kwa njia ya ki elekronikia ambapo salary slip
zamwisho kutoka ni za mwezi wa tisa 2017.
Nimetengeneza muongozo wa kujisajili kwa kutumia picha ili uweze kujisajili kwa urahisi hapa >>>>>>CILUASHAZ

Ili uweze kujisajili unahitajii unahitajika uwe na vifuatavyo:-
1. Salary slip yako
2. Kadi ya benki ambayo unaingiziwa mshahara

Kuweza kujisajili kwa urahis zaidi kwa muongozo wenye picha basi ingia hapa CILUASHAZ halafu nenda kwenye news na utapata link ambayo itakupeleka moja kwa moja kwenye usajili[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…