Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

CHANZO CHA UGONJWA WA MANJANO
Ugonjwa wa Manjano husababishwa na virusi viitwavyo “ Hepatitis B “ ( HBV ) ambavyo hushambulia zaidi ini la mwanadamu. Virusi hivi visipo tibiwa mapema hutengeneza uvimbe katika ini na kusababisha asratani ya ini ambayo hupelekea kifo.
 
MAMBO YASABABISHAYO MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA MANJANO.
Ugonjwa wa Manjano huambukizwa kwa njia zifuatazo :

Kujamiiana bila kutumia kinga.
Kunyonyana ndimi
Kuchangia damu isiyo salama
Mama mjamzito mwenye ugonjwa huu anaweza kumuambukiza mtoto wake wakati wa kujifungua.
Kuchangia vitu vyenye ncha kali kama vile wembe na sindano.
 
DALILI ZA UGONJWA WA MANJANO
Dalili za ugonjwa wa manjano huchukua muda mrefu kuonekana tangu maambukizi yatokee, na zinapo anza kuonekana wazi wazi, mgonjwa anakuwa amesha athirika kwa kiwango kikubwa sana. Dalili za ugonjwa huu ni kama ifuatavyo :
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…