HahahahahaUniq njooo huku kuna mtu anatest zali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasukuma leo tumepumzika !!!
Unataka uwakopeshe mkuu?Sasa Hawa jamaa USD mil 300 watatoa wapi
Lakini nimecheki baba yake barrick ana mkwanja mrefu atamlipiaUnataka uwakopeshe mkuu?
Wikipedia hata wewe unalog in na kuandika cho chote unachotaka...
AsanteAvatar yako ni nzuri
COLEWORLDLOVESYOU
Labda mkuryaKabila gani huyu? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️