yah tena ni rafiki yangu sana ahaaa japo akizingua nina crash comments yake...Mkuu ulishawahi kukutana na mtu jf uso uso
kiroho safiiiPokea likes mkuu
We are writing the same thing but using different toolWhen u have peace of mind,money,happniness and hope arises like sunshine
As For me No yetMkuu ulishawahi kukutana na mtu jf uso uso
fanya siku ukutane na mmja aha wapo wengi tu maofisini shuleni kitaa ahaaa show love...
Hahaha mwoneNilijua tu utakuja ukisikia ubuyu tu mate yamekujaa.
Pumzika nilikuwa nakusalim tu
Hahahaha mmoja tu mkuu ulivyokuwa na image yake kichwani na id yake ziliendana kweliyah tena ni rafiki yangu sana ahaaa japo akizingua nina crash comments yake...
aseeeehhhh...
Head Mistress toleo jipya. Utawala wa magufuli
Pamoja kiongozikiroho safiii
Let TiME speakfanya siku ukutane na mmja aha wapo wengi tu maofisini shuleni kitaa ahaaa show love...
Kama kawaidaonline
For sureSambaza likes
Aaah ndo naogopaga kuchorwa hiviHahahaha mmoja tu mkuu ulivyokuwa na image yake kichwani na id yake ziliendana kweli
ahaaa image ya id na sura ni tofauti ila yupo mmja aliweka picha yan anafanana na mwenyew....Hahahaha mmoja tu mkuu ulivyokuwa na image yake kichwani na id yake ziliendana kweli
The real voiceonline