Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
toa upate...pat hiyo kwanzaHutoi ..hupati
hakikakasoro zako zisome kwa tabia ya mwenzako.
linalokukera wewe elewa kwamba linamkera na mwenzio,kupendwa na watu si jambo rahisi,jitolee muhanga kwa uvumilivu wa tabia mbaya za wenzio nao utawaona wanajitolea muhanga kukupenda na kuiga tabia zako.amini kwamba kuheshimiwa kunatokana na uvumilivu wako kwa wenzio