Mchapo wa kwanza kati ya Arsenal na Everton unakaribia kuanza. Hii mechi Arsenal inastahili kushinda at least 3-0 lakini kama tuwajuavyo Arsenal wanaweza kuuza mechi nyingine muhimu na hivyo kupoteza 3 points. Mchapo huu utafuatiwa na mchapo mwingine wa nguvu kati ya l’pool na Spurs. Si ya kukosa michapo hii.