Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Visiwa vya ajabu duniani: Kisiwa kilichojaa nyoka




Ilha de Queimada Grande au "Kisiwa cha nyoka" kipo yapata maili 90 hivi kutoka kwenye jili la São Paulo nchini Brazil.

Inakadiriwa kuwa wapo nyoka 2,000 wanaoishi katika kisiwa hicho chenye ukubwa wa meta za mraba 430,000 kwa hivyo kuna nyoka mmoja kila unapokaribia kumaliza meta za mraba kati ya moja hadi tano.
 
Katika kisiwa hicho ndipo anakopatikana pekee mmoja wa nyoka wenye sumu kali kabisa duniani, Golden Lancehead Viper (Bothrops insularis). Wataalamu wanasema sumu ya nyoka huyo ina nguvu karibu mara tano ya nyoka yeyote anayepatikana katika ardhi ya dunia kiasi cha kuweza kuyenyusha nyama ya mwili wa mwanadamu.

Nyoka hawa hupata chakula chao kutokana na kuwala ndege wanaohama hama na kufanya kisiwa hicho kuwa sehemu yao ya mapumziko bila kujua hatari inayowakabili.

Jeshi la Wanamaji la Brazili limepiga marufuku kwa yeyote kutua ama kutia nanga katika kisiwa hicho, isipokuwa tu kwa watafiti wa kisayansi wenye ruhusa maalum.
 
"Count On Me"
[Verse 1:]
Oh uh-huh
If you ever find yourself stuck in the middle of the sea
I'll sail the world to find you
If you ever find yourself lost in the dark and you can't see
I'll be the light to guide you
We find out what we're made of
When we are called to help our friends in need
[Chorus:]
You can count on me like 1, 2, 3
I'll be there
And I know when I need it
I can count on you like 4, 3, 2
You'll be there
'Cause that's what friends are supposed to do, oh yeah
Oh, oh yeah, yeah
[Verse 2:]
If you're tossin' and you're turnin'
And you just can't fall asleep
I'll sing a song beside you
And if you ever forget how much you really mean to me
Every day I will remind you
Oh
We find out what we're made of
When we are called to help our friends in need
[Chorus:]
You can count on me like 1, 2, 3
I'll be there
And I know when I need it
I can count on you like 4, 3, 2
You'll be there
'Cause that's what friends are supposed to do, oh yeah
Oh, oh yeah, yeah
You'll always have my shoulder when you cry
I'll never let go, never say goodbye
You know...
[Chorus:]
You can count on me like 1, 2, 3
I'll be there
And I know when I need it
I can count on you like 4, 3, 2
You'll be there
'Cause that's what friends are supposed to do, oh yeah
Oh, oh
You can count on me 'cause I can count on you

Iwaendee rafiki zangu wote,napendezwa nanyi[emoji4][emoji4][emoji4][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Katika nchi Jamaica katika mji wa ST. ANN kuna chemchem ya maji Ndani ya chemchem hiyo kuna moto ambao huwaka masaa yote, Maelfu ya watalii kutoka sehemu mbalimbali za dunia humiminika katika mji huo kushuhudia maajabu hayo yanayofahamika kwa jina la FIRE WATER .
 
Katika nchi Jamaica katika mji wa ST. ANN kuna chemchem ya maji Ndani ya chemchem hiyo kuna moto ambao huwaka masaa yote, Maelfu ya watalii kutoka sehemu mbalimbali za dunia humiminika katika mji huo kushuhudia maajabu hayo yanayofahamika kwa jina la FIRE WATER .
 
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Paro (IATA😛BH, ICAO:VQPR) ulio nchini Bhutan katika milima ya Himalayas,ndiyo uwanja unaofikiriwa kuwa uwanja hatari zaidi duniani kwa ndege kutua na kuruka. Uwanja huo,upo kilomita 6 hivi toka mji wa Paro kwenye bonde la ufa la mto Paro Chhu.
 
Uwanja huo una barabara ya kurukia ndege na kutua (Runway 15/33) moja yenye urefu wa futi 6,445 (1,964 m) urefu ambao unalingana na viwanja vya mpira wa miguu 21 vyenye urefu wa mita 120 (393.6 ft),moja kati ya barabara za ndege kurukia na kutua fupi sana duniani. Una jengo moja la abiria lenye check-in counters 4,geti moja la kuingilia kwenye ndege na jengo la mizigo.
 
KWA NINI NI HATARI ZAIDI?
Sababu za uwanja huo kuwa hatari zaidi duniani.
1. MILIMA MIREFU SANA ILIYOUZUNGUKA UWANJA. Uwanja huo umezungukwa na milima ya Himalayas yenye urefu wa zaidi ya futi 18,000 (5,487 m),urefu ambao unakaribia ule wa mlima Kilimanjaro. Hebu fikiria urefu wa mlima kilimanjaro,halafu piga picha sehemu iliyozungukwa na milima kama hiyo pande zote!
 
3.PEPO KALI ZINAZOVUMA KUTOKA KWENYE MTO.
Sehemu yoyote yenye vyanzo vya maji kama mito na maziwa,kunakuwa na pepo kali zinazovuma kuelekea nchi kavu. Uwanja huo wa ndege umepakana na mto uliotengenezwa na bonde la ufa la mto Paro Chhu. Unaweza kuona jinsi kunakuwa na upepo mkali eneo hilo.
 
Ni Mashirika machache sana ya ndege yanayoutumia uwanja huo. Baadhi yao ni Budha Air, Druk Air na Tashi Air. Ni marubani nane tu duniani mpaka sasa ambao wameruhusiwa kutua katika uwanja huo. Shughuli zote za uwanja huo hufanywa mchana wakati kuna mwanga,na hakuna ndege inaruhusiwa kutua usiku au kukiwa na hali mbaya ya hewa.


~Zaidi ya huo,kuna viwanja vingine hatari kama vile Kansai International airport,Princess Juliana International airport na Madeira Airport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…