Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulikuwa unataka kupost kumbe ukakipost pm.
Dunia kunamengi
hapana nilikuwa sijuh kabisa kwanza nikawa nataman angalau ni post ata neno mambo nikashindwa siku moja nimekaa chumbani peke yangu nikaangalia zile steps nikajalibu na kweli kwenda kwenye jukwaa nikaona nimepost dah nilishangaa sana lakin hapo nyuma nilishia ku quote na like lakin pm ahaaa ndo nilikuwa naifahamu zaidi sijuh kwanni ...enjoy a day..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…