Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Licha ya kuwa vipengele vingi vya Snapchat huwa vinanakiliwa na kutumika katika mitandao mingine hilo haliwarudishi nyuma kabisa

Sasa wanatoka na kipengele cha ‘Link‘ ambapo mtu unaweza ukaweka link ya mtandao wowote ndani ya post (story) zako. Mwanzoni ulikua unaweza kuweka link pale tuu unapomtumia mtu Snap (Meseji).
 
Kingine ni kipengele cha ‘Background‘ yaani hapa utaweza kuwezesha hili kwa kutoa eneo la mbele ya Snap yako ili background ionekane. Filter hii ya background itakuwa inabadilika kila siku kama vile zilivyo zile ‘Lense’ za kuvaa kwa mfano ile ya mbwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…