Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuweka heshima yako muhimu hata Maze unamkumbuka mkuu alishia kwenye gospel
MASE mjanja yale mambo ya BEEF ya EAST na WEST yalivyopamba moto kufikia mpaka Pac kupoteza Maisha, hali kadhalika na Biggie nae kupoteza Maisha.

Akaona hapa Usalama wangu ni mdogo sana, akaamua apumzike masuala ya Muziki kwa Gia ya kuwa Ameokoka.

MASE aliokoka.

Kisha akarudi tena kwenye Gemu na Kibao chake cha kuitwa WELCOME BACK.

Shuka chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…