Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tatizo anataka niseme uongo na mimi kudanganya sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kale kamlima hauwezi kuwa nako? Acha hizo...kwani unavaaga lile gauni jeupe lina mifuko pembeni? Na simpo shuzi? Hapa nyuma kati panabinuka kiasi fulani hivi...sijui niende hospitali gani nikuonyeshee mfano...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ngoja naja na kapicha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…