Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyo jamaa ni mgonjwa kwakweli
Hebu leta kapicha kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kale kamlima hauwezi kuwa nako? Acha hizo...kwani unavaaga lile gauni jeupe lina mifuko pembeni? Na simpo shuzi? Hapa nyuma kati panabinuka kiasi fulani hivi...sijui niende hospitali gani nikuonyeshee mfano...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ngoja naja na kapicha...
Toa hao ng'ombe 15 acha maneno meengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe mzee kuna muda akili zako zinajijuaga zenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya ngoja nikuache na dada yako...
Ni nani? Nimemkuta mahali wanamsema vibaya japo hawakuwa waziHuyo jamaa ni mgonjwa kwakweli
Nataman kumfaham ni nan huyoNi nani? Nimemkuta mahali wanamsema vibaya japo hawakuwa wazi
Hahahahaa only in AfricaIts only in Kenya where the winning president has more votes than the number of people who turned out.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata simjui kwakweli ila anaonekana ni mgonjwa hasaNi nani? Nimemkuta mahali wanamsema vibaya japo hawakuwa wazi
Kama si muvi wanaipa promo itakuwa ni nyimbo,maana janjaro si anazaliwa wima na uwoya yule?
Nilikuwa nataka nikuite labda wewe wamjuaNataman kumfaham ni nan huyo
Niite huko plzNilikuwa nataka nikuite labda wewe wamjua
Kuna picha hapo SYB kaweka huyo mkaka/shoga ndo nilitaka nikuulize ni nani kama wamjuaNiite huko plz