Hahahaha eti anazaliwa wima. Ni dili ,uwoya kaolewa na mwingine ila dogo janja katumika kuolea huyo jamaa maana naambiwa kwenye uislam inakubalikaKama si muvi wanaipa promo itakuwa ni nyimbo,maana janjaro si anazaliwa wima na uwoya yule?
Maisha haya
Mtoto wa mwenzio ni mwanaume....Kama si muvi wanaipa promo itakuwa ni nyimbo,maana janjaro si anazaliwa wima na uwoya yule?
Maisha haya
Nsamaka[emoji125] [emoji125] [emoji125]Huu mkwara wa nani huu?
Kuna picha hapo SYB kaweka huyo mkaka/shoga ndo nilitaka nikuulize ni nani kama wamjua
Picha hiiNiite huko plz
Huyo jamaa ndo wanasema bosi wa danube?Hahahaha eti anazaliwa wima. Ni dili ,uwoya kaolewa na mwingine ila dogo janja katumika kuolea huyo jamaa maana naambiwa kwenye uislam inakubalika
AsanteHongera mamaa
Ndio huyo wanasema. Ingekua ni dogo janja yeye ndio angebadiloshwa dini. Pesa sabun ya roho irene kawa sheilaHuyo jamaa ndo wanasema bosi wa danube?
Inaruhusiwa kama bwana harusi anaudhuru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sikutegemea kwakweliMtoto wa mwenzio ni mwanaume....
...na ng'ombe kamwe hazeeki maini...
...Maini si mapupu ati !!!
Hizi dini tunazichezea kweli sababu ya pesa,nakumbuka kunakipindi wolper alibadili dini baada ya kumpata jamaa mmoja hivi,walipoachana akabadili dini tena..Ndio huyo wanasema. Ingekua ni dogo janja yeye ndio angebadiloshwa dini. Pesa sabun ya roho irene kawa sheila
Kila kinu na mtangio wake,tuache kufosi mambo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kila mguu na saizi yake ati !!![emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hujaharibu,screenshot za humu safi kabisa creen upendavyoKumbe nimeharibu? Nisameheni bure
Hii mitandao inatuharibu sana,siku hizi wazazi ni kuwaombea tu hawa watoto tunaowaleta duniani maana hali si nzuri.Mabinti wengine bwana. Kavujisha laivu yuko mweupee kama alivyokuja duniani. Halafu mzuri kweli kweli. Hovyooo !!!
AbeeeCarbamazepine
Ona sasaMlango upo wazi kabisaaaaa