Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naomba kuwakumbusha tena. Lengo kuu siyo kukimbiza uzi. Lengo ni likes. Huku nyuma 6 minutes ago kuna posts hazina likes hata moja na niko peke yangu. Vidole vinaniuma jama. TOENI likes na kupokes likes. Nawakumbusha tu
Safi sana kwa kuwa kumbusha maana mimi mfunika mashimo nipo nyuma kabisa nagonga likes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…