Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"



 


 
Swiss Beatz anajipasulia huyu Dada!


Swizz Beatz anajipumzisha kwa huyu mnyange aisee!
Kweli"To live it doesn't mean you are alive"-moment 4life-Nick Minaj
Kiongozi.

Sijakipenda kitendo alichokifanya ALICIA.

Yaani ni kama wale Wanawake wetu wenye Tabia ya kuwanyang'anya wenzao Waume.

Kitendo cha kumchukulia Bwana Mama watoto wa SWIZZ BEATZ wala si cha kiungwana hata kidogo.

Kaingilia Mapenzi ya Watu kisha yeye ndio amejikita.

Mbaya sana
 
Ni kweli Mkuu, inaumiza sana. Ila kwa mwanamke kumnyang'anya mume au bwana mwanamke mwenzie, ni ishu ndogo sana kwao. Ni sawa tu na kutoa ushuzi chooni, huwezi shtuka. Maana ni mahali pake. Cha msingi ni mwanaume mwenyewe kutafakari tu, je unachofanya ni sahihi?!
Kuna jirani yangu hapa kampiga mitama mwenzie, kamchukulia mume ambae ameshazaa nae watoto wanne, wakat yeye bado mbichiii!! Wanagegedana tu saizi.
Kwahiyo wanawake sisi tuwagegede tu, habari zao watamalizana wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…