ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Unazungusha uzi!Nazungusha.....!!! Neno lina maana zaidi ya moja hili...itabidi unisaidie kulielewa...hahah
Hata hivyo like inakuhusuNazungusha.....!!! Neno lina maana zaidi ya moja hili...itabidi unisaidie kulielewa...hahah
Mrembo rubiiSamsung A8 is mwake mwake!
Hahaha nami imebidi niulize...maanaAnazingusha nini tena?
Babe S utakuwa unaZungusha likesHahaha nami imebidi niulize...maana
Acha maneno mimi mwenyewe nipo huku najikongoja na like bila kusoma nini kimeandikwa. Wasio like sambi sao wenyewe. Pata like yakoNaomba kuwakumbusha tena. Lengo kuu siyo kukimbiza uzi. Lengo ni likes. Huku nyuma 6 minutes ago kuna posts hazina likes hata moja na niko peke yangu. Vidole vinaniuma jama. TOENI likes na kupokes likes. Nawakumbusha tu
[emoji1] [emoji1]
Nimeipokea na nakupa na wewePokea likes murua kabisa
jikongoje utatukutaAcha maneno mimi mwenyewe nipo huku najikongoja na like bila kusoma nini kimeandikwa. Wasio like sambi sao wenyewe. Pata like yako
Tatizo wanavyopokea rushwa hawanawi mikonoKwa nini trafic huchafuka kwenye mifuko?
[emoji1] [emoji1]
Karibu sanaMwanampotevu nimerudi humu.
Hahahaha...! Sasa nimeelewaBabe S utakuwa unaZungusha likes
Haya...nawe kula like japo umeniacha na swaliHata hivyo like inakuhusu