Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Myoya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mashemeji wana sababu zao....
We mwache aje na paraboz zake hapa wakati mwenzie aja na mijigari [emoji23] [emoji23] [emoji23]Oh real?
Bro, mpaka tumepata ngeu na kutishiwa maisha ujue. Tumetishiwa mpaka kutumiwa crocodiles kwenye maji ya kunywa. Hii vita siyo rahisi kama unavyodhani !!!
Wewe kweli[emoji22] [emoji22]Nimeghairi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jirani, wewe umeingia vitani kwa sababu gani?Huyo kama theluji!! Juani huyeyuka tu..
Teh teh teh utawakuta tu[emoji6] [emoji6]Nitawakuta tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] au sijui niondoke nao tu au nibaki
Mhhhhh........Kulifata UA likichanua..likisinyaa huwaoni[emoji16][emoji16]
Siyo mchochezi. Muulize kuhusu lengo lake la kuingia vitani ni lipi? Hakuna aingiaye vitani bila sababu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jirani mchochezi wewe khaah!
Acheni mafumbo.Kama naanza kuelewa hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha nianze kufanyia kazi haya malengo ya vita maana.......Siyo mchochezi. Muulize kuhusu lengo lake la kuingia vitani ni lipi? Hakuna aingiaye vitani bila sababu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu huoni nyuki wengi kwenye UA ..Mhhhhh........
Hizi code ngumu shemeji hapa kila nikijaribu sielewiAcheni mafumbo.