Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Teh teh teh mashemeji zako utawaacha wapi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mashemeji wamekuwa issue. Ni wakati wa kujitoa kwenye hii vita kwa sababu naona lawama nje nje.

Kuanzia sasa bro apambane na hali yake kwa kweli. Vinginevyo vita hivi vitakuwa na collateral damage kubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…