[emoji3] [emoji3] [emoji3]hakuna sauti kubwa hii dunia kama kifuniko ya sufuria ikianguka ukijaribu kuiba nyama
Hahahahaha, peleka kwa mangi j....o, [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mahali husika ndio wapi ndugu yangu? [emoji1][emoji1][emoji1]. Nipe direction nikupelekee kwa niaba!
Hahahahaha, peleka kwa mangi j....o, [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mi simo, ooh! [emoji1][emoji1] Unamjua yule mjumbe wetu wa Mchafukoge alikuwa anaitwa Kalambo?
[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ
πππππhakuna sauti kubwa hii dunia kama kifuniko ya sufuria ikianguka ukijaribu kuiba nyama
πππππ.
Rome si watu wazr kbs
πππππ.ndo maana yake sichuniki hata kwa limbwata la kitanga
Kiongozi.Kiongozi leo umeachana na burudani ya mziki umeamia kwenye urembo...