Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MADHARA YA BPH

BPH kama ilivyo saratani ya tezi dume, inaweza kumletea mgonjwa madhara (complications) kadhaa. Madhara hayo ni pamoja na

Mkojo kushindwa kutoka (retention of urine)Mgandamizo kwenye kibofu cha mkojoVijiwe kwenye kibofu cha mkojoUambukizi katika njia ya mkojo (UTI)Madhara katika figo au kibofuShinikizo la damuKushindwa kutoa shahawa kwenye uume (retrograde ejaculation)Nimonia (Pneumonia)Damu kuganda

Baada ya mgonjwa kujihisi dalili zilizotajwa hapo juu, daktari atamfanyia uchunguzi wa mwili kabla ya kumfanyia vipimo zaidi. Vipimo vyaweza kutofautiana kati ya mgonjwa namgonjwa, lakini baadhi ya vipimo ni pamoja na.
 

carbamazepine...! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
 
Rafiki yangu kampoteza babake mzazi juzi juzi hapa kwa kansa ya tezi dume. Wanaume wote 50+yrs kapimeni jamani. Na uzuri siku hizi kuna vipimo mbadala na si lazima kupigwa dole.
 
M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…