Mkuu mkuu, siyo mwendo huo[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu, lakini salama huko[emoji124] [emoji124] jirani......sasa nikueleweje jiranii....twangapepeta ooh....[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji442]
Mungu ni mwema mzee wa pwani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwema mkuu
Salama kabisa ndugu yangu. Habari ya siku nyingi?Mkuu mkuu, siyo mwendo huo[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu, lakini salama huko
Acha mambo hayo weye, mwaga talaka watu wapate uhuru[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwache ahangaikeeee na talaka sitoi.
Mbona Lowasa hajarudisha kadi ya ccm? Mtalaka hatongozwi ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkimya lakini hatari. Ubro huu si ajabu utanitokea puani. Alijaribu Bob akashindwa. Dogo wa Ukerewe naye nikasavaivu. Hii ya "mate" hii sijui. Ngoja nipambane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kijana ni shida sana
Hahahaha , mtoto wa kisukuma nsamaka njoo hapa nikisaidie kudai talaka yako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Baba,msaliti wa undugu wetu,mzee wa kunyapia zizi langu. Mzee mbayaa wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Bora shem umeonekana aiseeh!me ndoa imenishinda kwakweli
[emoji121] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] SWADAKTANipo Mkuu Moudgulf muzee ya mujini hapa ndo kijijini kwetu hata tukienda mijini tutarudi Tu. Hakuna namna
Yaani we shemeji wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwache ahangaikeeee na talaka sitoi.
Mbona Lowasa hajarudisha kadi ya ccm? Mtalaka hatongozwi ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Limbwata kwo ni TABORA, Tanga na MAPENZI ya kweli tuBuzitata halichunwi hata kwa limbwata la kitanga
Masuala gani? Hayo masuala flani huwa mnafanyia wapi na wakati gani? Unajua maana ya mate? Come on bro!Yaah ni mate wangu kwenye masuala flan hivi
Yamekuwa hayo[emoji3] [emoji3]Nakuvutia kasi tu[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
Wataje wachimba chumvi wako[emoji3] [emoji3]Nitawaweka alama uwe unawaona wanapenda kuona meli yetu ya upendo inazama