Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 8, 2017 #484,101 Hii hutokana na asili ya kazi nyingi za wanawake hawa kuhusisha kushika maji kama vile kufua, kuosha vyombo nk na kuondoa mafuta ambayo walijipaka mwanzo.
Hii hutokana na asili ya kazi nyingi za wanawake hawa kuhusisha kushika maji kama vile kufua, kuosha vyombo nk na kuondoa mafuta ambayo walijipaka mwanzo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 8, 2017 #484,102 Pia huwa karibu zaidi na moto, hivyo hukaushwa zaidi.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Nov 8, 2017 #484,103
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 8, 2017 #484,104 Hata baada ya kujisaidia hunawa sehemu hizi kwa maji hivyo kuondoa mafuta ambayo walikuwa wamejipaka na kubaki ngozi tupu, kavu bila mafuta.
Hata baada ya kujisaidia hunawa sehemu hizi kwa maji hivyo kuondoa mafuta ambayo walikuwa wamejipaka na kubaki ngozi tupu, kavu bila mafuta.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 8, 2017 #484,105 Ukavu huo ukiendelea huweza kupelekea ugonjwa wa ngozi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 8, 2017 #484,106 Suluhisho kubwa la tatizo hili ni kuhakikisha unapaka mafuta yanayosaidia kulinda na kuongeza unyevu katika ngozi yako (Moisturizer) mara kwa mara.
Suluhisho kubwa la tatizo hili ni kuhakikisha unapaka mafuta yanayosaidia kulinda na kuongeza unyevu katika ngozi yako (Moisturizer) mara kwa mara.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Nov 8, 2017 #484,107
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 8, 2017 #484,108 Kila baada ya kazi itakayohusisha kushika maji, kulowesha mikono,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 8, 2017 #484,109 kuwa karibu na moto na kadhalika hakikisha unapaka mafuta au losheni mikono yako
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Nov 8, 2017 #484,110
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 8, 2017 #484,111 Hii itasaidia kuongeza unyevu na kutunza unyevu katika ngozi yako hii na kuizuia isikauke na kuzeeka haraka.
Hii itasaidia kuongeza unyevu na kutunza unyevu katika ngozi yako hii na kuizuia isikauke na kuzeeka haraka.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Nov 8, 2017 #484,112
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 8, 2017 #484,113 Ukitoka kujisaidia na kunawa mikono paka tena mafuta au losheni mikono yako yote.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 8, 2017 #484,114 Ukimaliza kazi zako na kunawa paka tena mafuta au losheni mikono yako yote.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 8, 2017 #484,115 Ukielewa chanzo cha tatizo na kukidhibiti ni rahisi sana kumaliza tatizo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 8, 2017 #484,116 Fanya hivyo ili mikono yako isiwe mikavu tena na kuwahi kuzeeka.
andjul JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 19,383 Reaction score 121,663 Nov 8, 2017 #484,117 SHIMBA YA BUYENZE said: Click to expand... Habari ndugu yangu
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Nov 8, 2017 #484,118 Rutashubanyuma said: View attachment 626827 Click to expand... Wahehe nao jamani duh! Sikutegemea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rutashubanyuma said: View attachment 626827 Click to expand... Wahehe nao jamani duh! Sikutegemea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gordita JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 11,574 Reaction score 55,644 Nov 8, 2017 #484,119 Lemonade [emoji445] [emoji445] [emoji445]