Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nlikuona sehemu nkakupiga picha ntakutumia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwa raha zangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] , Nimwambieje your eksi hazibandi
Namtakia maisha mema mana saizi ninakaribia kwenda tukuyu,nafainolaizi divosi pepa [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
au yakaanza kuzalishwa kwa wingi kutokana na vipodozi anavyotumia kama vile scrub na vipodozi vingine ambavyo vitaifanya ngozi ihisi mafuta yamepungua kwenye uso wa ngozi na hivyo kuanza kuzalisha na kutoa mafuta mengi zaidi kuja nje ya ngozi.
 
Inawezekana mtu akawa na asili tu ya kuwa na mafuta mengi, au yakaanza kuzalishwa kwa wingi kutokana na vipodozi anavyotumia kama vile scrub na vipodozi vingine ambavyo vitaifanya ngozi ihisi mafuta yamepungua kwenye uso wa ngozi na hivyo kuanza kuzalisha na kutoa mafuta mengi zaidi kuja nje ya ngozi.
 
USHAURI NA KUKABILIANA NA TATIZO LA MAFUTA MENGI USONI
Kama una mafuta mengi usoni ni faida sana kwako, kwa kuwa ngozi yenye mafuta mengi huwa na faida ya kutowahi kuzeeka, kutokauka, kutopata maambukizi kiurahisi na kutohitaji mafuta mengi ya kuongezea kwa ajili ya kuitunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…