Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dar hapo mvua ni shida. Nimeona nyumba zina maji mpaka mabegani. Ni shida...
Kwa tulio kwenye vilima vya kutereza huku,vimikokoteni vyetu havina thamani kabisa,popote kina lala kikikwama.
Tupo kwenye shida ila tulio athirika hatuna ushirikiano,anatafutwa diwani ajibu kwanini hajachimba mifereji![emoji15] [emoji15] [emoji15] wakati Tukuyu tunaitana watatu au wanne,tunapiga tuta la mlevi kutambaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…