Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haki za Wafungwa na Hali ya Magereza -Tanzania Bara (2)
 
Upo msemo usemao ‘kama unamtendea mtu kwa kadiri alivyo, ataendelea kubakia hivyo hivyo alivyo.
 
Lakini kama utamtendea kwa kadiri ambavyo anapswa au angepaswa kuwa basi atakuwa kama anavyotakiwa kuwa au ambavyo angepaswa kuwa’.
 
Lakini kama utamtendea kwa kadiri ambavyo anapswa au angepaswa kuwa basi atakuwa kama anavyotakiwa kuwa au ambavyo angepaswa kuwa’.
 
Hivyo jamii na vyombo husika inavyowatendea wafungwa inachangia katika kuwabadilisha ama kuwaacha wabakie walivyo au hata kuwaharibu zaidi.
 
Pengine jitihada za kutosha hazijafanyika kuelimisha watu juu ya nafasi na wajibu wa magereza katika kulinda haki za watu waliomo jela
 
Hivyo jitihada zinahitajika ili kufikia azma ya kubadilisha fikra za wanajamii na wafungwa wenyewe waweze kubadilisha mienendo yao na kurudia hali ya kuwa raia wema
 
Kwa kupanua uelewa wetu wa nafasi na wajibu wa magereza yafaa tufanye tafakari katika maeneo fulani ambayo inaaminika yatasaidia kutuongoza kuelewa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…