Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAANDALIZI YA EID

Zijue aina kuu 3 za pilau
*1. Pilau Mjazo*
Hii ni aina ya pilau ambayo ina nyama nyingi.
*2. Pilau Makinikia*
Aina hii ya pilau, nyama ni za kutafuta, hazionekani juu mpaka uunde tume.
*3. Pilau Mfuto* au Njeri kule kenya
Pilau hii huwa haina nyama, sanasana utaambulia viazi

MAANDALIZI MEMA YA IDD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…