cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Mkuu samahani, niko kwenye toba
DuuhNyie mlio zaliwa mjini mnalingia vizungu vyenu
...naye hugegeduliwa!Mgegeduaji
Wenzako walisha ikatia leseni50k hiyooooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii tabia ya kutoa like imenikamata mpaka mtaani Mtu akiongea chochote nampa Like tu.
Dah!!!Nyie mlio zaliwa mjini mnalingia vizungu vyenu
Huyo Mwalimu ni Mjinga sana kama Hajazaa. Kula Like zako pia.Huyo mwalimu wa kupewa vibao vya kaa la moto, jinga haswa
Hahahaha na ninahisi yameshaanza....Babe S, usiongelee macho sana kwenye huu mchezo wa likes. Yataanza kuuma. Usije kusema kuwa sikukuonya!
Hizo adhabu zilikuwa zinatolewa wakati hatujui mchanga ni makinikiaKwa makosa ya nyumbani mwalimu alikuwa na nafasi yake ya kutoa adhabu
Ukopata mimba ni kiherehere chako umesikia!!!!
Chunga miwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
duuhNyie mlio zaliwa mjini mnalingia vizungu vyenu