HahahahahaHii tabia ya kutoa like imenikamata mpaka mtaani Mtu akiongea chochote nampa Like tu.
Kidhungu hakijawahi Kumwacha Mtu Salama. Huyo Mchoraji kaniaibisha sana. Kula Like kakaNyie mlio zaliwa mjini mnalingia vizungu vyenu
National Panasonic zile za mbao asubuhi kijiji kizima kinasikiliza taarifa ya habari...Ukifanya ujinga wa kuharibu radio, pasi au kupoteza mpira wa mwenzio mashitaka yanapelekwa kwa mwalimu
Mkuu nimefunga mpaka Kesho ijee nitie KIZIBOMkuu samahani, niko kwenye toba
Usijali mkuuChunga miwani
...ni hatari kwa afya. Unaweza dondosha hata bone marrow!Mkuyati