Madrid, Hispania. Siku chache baada ya kujifungua mtoto wa kike, mchumba wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodriguez ametuma picha katika mtandao kijamii akiwa amemshika kichanga chake.
Kuwa mama na kuanza malezi ya mtoto wangu ni jambo linalonifanya nijisikie mtu mwenye furaha isiyokuwa na kifani," aliandika katika ukurasa wake wa Instagram.