Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemeji ndo nini kupotea hivi hadi nakumiss jamani?
Kwema?
Aaaaah shemeji kipenzi. Nipo sana. Sema tu uzi huu kwangu kwa sasa hauna ile bashasha ya zamani. Wakongwe wameanza kupungua au wanakuja wanachungulia tu na kuondoka. Wewe nawe huonekani. Andjul? KK? Numbisa naye akifuma magunia ya ubuyu huko anajifungia huko huko huku anakusahau. Likes zenyewe za shida. Anyway, kwema huko kwako? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Asante sana. Ujumbe wa maana sana. Mungu hutenda kwa wamwaminio na kumtumaini [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Yeeeeeeeeeeeeeeeees. Even Mr. Right will have issues and problems as he is human. Cha muhimu ni kumvumilia !!!
 
Huu Uzi umekuwa changamoto siku high Ila nahisi ni majukumu tu.
Andjul yupo majukumu tu, KK sijui katekwa hate sielewi.
Mimi Nico nafurah kukuona shemeji
 
Najua mkuu. Unafikiri Angekuwa ni malkia wa nchi ya Kiafrika wazungu wasingekuwa wanampigia makelele hasa ukizingatia tu palace yake na yeye mwenyewe wanakula mabilioni kila mwaka? Bajeti yake na familia yake inatosha kuendesha kanchi kadogo ka Kiafrika....
 
NEYMAR ALITAKA KUSITISHA UHAMISHO KWENDA PSG


Neymar alijaribu kusitisha uhamisho wake kutoka Barcelona kwenda Paris Saint-Germain kabla ya dili kusainiwa, limedai Marca .
Mbrazili huyo amekuwa mchezaji ghali zaidi baada ya kuhama kutoka Barcelona kwenda Paris Ufaransa kwa dau la €222 milioni transfer. Lakini alikuwa hataki kukamilisha uhamisho huo na kusita kusaini makaratasi na kumtaka rais wa Barce Josep Maria Bartomeu kusitisha mchakato.
Shukrani kwa janja za baba na wakala wa mchezaji huyo Neymar Sr., lakini inaaminika mchakato ulikamilika kinyuma cha mapenzi ya mchezaji.
 
Paul Pogba na Zlatan Ibrahimovic wameripotiwa kuwa mbioni kurejea kwenye kikosi cha Manchester United watakapoikaribisha Newcastle United Jumamosi jioni.
Usajili wa rekodi wa klabu, Pgba alicheza mechi nne tu ligi Kuu Uingereza kwenye kikosi cha United kabla ya kulazimka kuuguza majeraha ya misuli mwezi Septemba, wakati Ibrahimovic amekuwa nje kuwa muda mrefu tangu alipopata jeraha la kano ya goti msimu uliopita
 
United chini ya meneja Jose Mourinho ilidaiwa kuwa mechi dhidi ya Magpies ingekuwa mapema sana kwa Pogba kurejea lakini kwa mujibu wa The Sun, Mfaransa huyo amekuwa na maendeleo mazuri kuliko ilivyodhaniwa na sasa amerudi kazini.
Gazeti hilo limedai kuwa Ibrahimovic pia, ambaye alitarajiwa kuwa nje hadi Krismasi, amekuwa na maendeleo ya haraka na anaweza kuanzia benchi wikiendi hii.
 
United chini ya meneja Jose Mourinho ilidaiwa kuwa mechi dhidi ya Magpies ingekuwa mapema sana kwa Pogba kurejea lakini kwa mujibu wa The Sun, Mfaransa huyo amekuwa na maendeleo mazuri kuliko ilivyodhaniwa na sasa amerudi kazini.
Gazeti hilo limedai kuwa Ibrahimovic pia, ambaye alitarajiwa kuwa nje hadi Krismasi, amekuwa na maendeleo ya haraka na anaweza kuanzia benchi wikiendi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…