Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anafurahia sauti na picha za rangi.

TABIA ZA MTOTO WA MIEZI MIWILI
Feeding pattern (Ratiba ya chakula)
Mtoto wa miez miwil hunyonya kila baada ya masaa 2-3
 
Milango yao ya fahamu(Sensory organ )
Anauwezo wa kutoa kisaut fulan hivi pindi ukimfanyia kitu cha kuchekesha
Anaweza kutrack (kuangalia kitu kwa kukifuatiza )
Anaanza kunyanyua kichwa .
Anaweza kunja vidole vizuri.
 
TABIA ZA MTOTO WA MIEZI MITATU
Sleeping pattern (Ratiba ya kulala)
Anauwezo wa kulala masaa 5-6 usiku bila kushtuka.
Analala masaa 15 kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…