Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ushauri mzuri sana!
Hahahaha hapo mmewamalizaWale wa kanda ya Kibiti eid mwsho wa kusherekea ni saa 14: 00 mchana
BbyMimi nafikiria kuaga kuwa wa kila siku nikitimiza miaka kumi, sijui nitaweza!!!!
Nauza kadi ya kupigia kura
Jamaa Anajitahidi sana. Anatoa like na anapata like. Ngoja nawewe nikugonge Like za kutosha.
KICHWA KICHAFU
hongera kwa kushika no 18 most likes jf
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Kichwa Kichafu
Hahahahah pole sana mkuu speed ni kali kwenye kutypeIle ya kusubiri 3 seconds itatumaliza wengi leo
Jamaa alikuwa na wasi wasi kuwa uzi utafia njianiJembekillo njooo uone uliloanzisha, watu wanasubiria kugonga #50,000.