Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utafikaje huko
Kwa karne nyingi, imekuwa ndoto tu lakini inakaribia kutimia. Iwapo mambo yote yatakwenda sawa, mjasiriamali mmiliki wa Space X Elon Musk anapanga kutuma kundi la kwanza la watalii kwenye sayari hiyo kufikia 2022.
 
Lakini gharama yake itakushangaza pengine. Tiketi ni $10bn! Lakini iwapo huwezi kupata pesa nyingi kiasi hiki, usife moyo. Kuna njia nyingine ya kiteknolojia ambayo taasisi ya safari za anga za juu ya Marekani Nasa inatafakari - kutumia miwani ya kisasa na roboti.
 
Vivutio sayari ya Mars
Kivuti kikuu ni mlima wa Olympus Mons. Mlima huu una urefu wa maili 14 (kilomita 22), na ndio mlima wa volcano mrefu zaidi katika Mfumo wa Jua. Kwa kulinganisha tu, urefu wa mlima huu ni mara tatu urefu wa mlima mrefu zaidi duniani, Mlima Everest.
 
Kufikia sasa, haijabainika bonde kubwa kiasi hiki liliundwa.
Bonde hili la Valles Marineris lina mchanga wenye marangi mbalimbali ya kupendeza ambao umejipanga kwa safu mbalimbali. Inadhaniwa kwamba huenda mchanga huu ulitokana na mashapo au machenga ambayo yalijikusanya chini ya ziwa au mto wa barafu, au kutokana na kujikusanya kwa majivu ya volcano.
 
Dah! Hiyo papuchi baada ya masaa 24 ilikuwa ndembe ndembe. Wangetuwekea na info kuhusu mara ngapi alifika kileleni
🙂🙂...Au papuchi ilikufa ganzi hata alipokuwa akifika kileleni alikuwa hahisi kitu. Si ajabu kuna mwingine atanuia kuivunja rekodi hii kwa kwenda masaa 36 au 48 wapige gegedo njemba 2,000.

Rekodi zingine bwana duh !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…