Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hunitakii mema kumbe[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nimeiona hii ikanisikitisha. Kuna binti kijijini kwetu ana hili tatizo. Wazazi wake hawakuwa na la kufanya. Kumbe ni operesheni ndogo tu inayogharimu pesa kidogo. Ana aibu sana na huwa haongei na watu japo sasa anaukaribia utineja. Wazazi wake hata shule hawakumpeleka.

Kuna anayejua kama operesheni hii inaweza kufanyika kwa mtu mkubwa (18yrs+) na ikamsaidia, au ni kwa ajili ya watoto pekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…