[emoji28][emoji28][emoji28]hivi ni maparachichi haya haya tunayaongelea au kuna aina nyingine,amu konfuzid[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee,tumhurumie japo kidogo mtoto.
Anateseka wakati sisi tupo? Kwanini?
Kama ni miparachichi yenye sifa hiyo ana ihitaji kwa hiari yake mwache...
"Anachokitafuta atakipata tu"
Haya mambo haya shemeji acha tuLeo shemeji unatema madini balaa...
Ni yale yale unajilazimisha miaka mitano kwenye relationship halafu unakuja kuambiwa we siye. Kumbe ungeangalia vizuri all the signs were there that things were not working...
Olewa weee mama me napenda kuwa singo ledi[emoji23][emoji23][emoji23]Carba, kuna jirani yangu hapa anatafuta mchumba.